TESTIMONIALS FROM DEC ALUMNI
"Is a centre to predict a best future
at this moment
is a centre wher I can improve my
academic performance/
This place looks like a gift
from Angels to our lives
I love and wish a long life to it"- Bakari Kamsomba -
chini ya uongozi wa walimu waliobobea
Sir. Banka and Master Jovin"- Goodluck Mrosso -
"Nilipofika tuition nilikuta walimu
wenye uzoefu mkubwa wa kutufundisha
tuition imenisaidia sana vitu vingi
nilivyokuwa sivijui"- Aisha Ally -
"Distinction imenisaidia sana
nilikuwa sina mwanga wowote
kuhusu masomo ya sekondari
lakini Distinction imeniwezesha
sasa nafanya vizuri katika masomo yangu"- Asia Mustafa -
"Kwa upande wa mazingira ni mazuri sana
na yana ridhisha katika usomaji na ufundishaji"- Joseph Kibiki
-





Comments
Post a Comment